# started 2014-08-16T15:07:40Z "Historia ni somo kuhusu maisha ya binadamu na utamaduni wao wakati uliopita.Mara nyingi neno hilo lina pia maana ya maarifa yoyote kuhusu wakati uliopita, yawe au yasiwe maarifa ya watu (kwa mfano \"historia ya ulimwengu\"). Historia ni hasa mfululizo wa habari za mambo yaliyotokea pamoja na sababu zake. Binadamu anaziandika ili kuelewa maisha yake, yaani ametokea wapi, amepata mafanikio gani na matatizo gani. Historia inatufundisha kuishi: kumbukumbu za mambo ya zamani (vita, uhuru, viongozi na mengineyo) zinatuwezesha kuendelea vizuri zaidi.Wanahistoria wanatoa maarifa yao kutoka maandiko ya zamani, kutoka fasihi simulizi na kutoka akiolojia."@sw . "Akiolojia (kutoka Kiyunani \u03B1\u03C1\u03C7\u03B1\u03AF\u03BF\u03C2 = zamani na \u03BB\u03CC\u03B3\u03BF\u03C2 = neno, usemi) ni somo linalohusu mabaki ya tamaduni za watu wa nyakati zilizopita. Wanaakiolojia wanatafuta vitu vilivyobaki, kwa mfano kwa kuchimba ardhi na kutafuta mabaki ya majengo, makaburi, silaha, vifaa, vyombo na mifupa ya watu."@sw . "Kwa ujumla, historia au tarehe, ni kumbukumbu ya maisha ya mwanadamu duniani, hasa ile tarehe iliyosajiliwa na kuhifadhiwa katika vitabu, maandishi mbali mbali, na simulizi au hekaya za mapokeo. Ingawa historia iliyobebwa katika simulizi na hekaya huchukuliwa na baadhi kuwa haina nguvu kwa kukosa ithbati ya maandishi, bado hivi ni vyanzo muhimu vya historia. Mara nyingi historia iliyoko katika maandishi huwa imehifadhiwa katika simulizi na hekaya kwa muda mrefu kabla ya kuandikwa."@sw . "Kiesperanto ni lugha ya kupangwa inayozungumzwa zaidi duniani kati ya lugha hizi. Ilipangwa na Ludwik Lejzer Zamenhof, myahudi aliyetoka mjini Bia\u0142ystok, nchini Urusi (siku hizi ni sehemu ya nchi ya Poland). Alitoa kitabu cha kwanza cha lugha hii mwaka 1887 baada ya kuitengeneza kwa miaka karibu kumi. Nia yake ilikuwa kutengeneza lugha rahisi ili iwe lugha saidizi ya kimataifa, lugha ya pili kwa kila mtu duniani. Waesperanto wengine bado wanataka hiyo, lakini wengine wanapenda kuitumia tu bila nia ya kuieneza duniani kote. Waesperanto wanakitumia Kiesperanto kwa ajili ya kukutana na wageni na kujifunza kuhusu nchi na tamaduni nyingine. Siku hizi, maelfu ya watu wanaitumia mara kwa mara ili kuwasiliana na watu popote duniani.Chunguzi za kitaalamu zimeonyesha kwamba Kiesperanto kinaweza kujifunzwa rahisi zaidi sana kuliko lugha asilia, na pia kwamba kujifunza Kiesperanto kwanza kunarahisisha kujifunza kwa lugha nyingine."@sw . "Lugha (kar: \u0644\u063A\u0629) ni utaratibu kwa ajili ya kuwasiliana kati ya binadamu au kati ya viumbe vyovyote venye akili. Mwaka wa 2008 ulikuwa Mwaka wa Lugha wa Kimataifa.Somo la lugha linaitwa maarifa ya lugha au isimu."@sw . "Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki.Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, mithali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo. Kiswahili hutumika mashuleni na kuna vitabu vingi vilivyotungwa kwa kutumia lugha hiyo, vikiwa pamoja na vile vya hadithi, hekaya au riwaya."@sw . "Sheng' ni lugha ya mitaani nchini Kenya inayochanganya Kiswahili na Kiingereza pamoja na lugha mbalimbali za kienyeji kama vile Kikikuyu, Kijaluo n.k.. Sana sana hutumiwa na vijana katika mji wa Nairobi, Kenya. Hata hivyo lugha hii inasambaa katika sehemu mbalimbali za Kenya na watu wa matabaka mbalimbali wanaitumia. Sheng inatumiwa kwenye mabasi, redioni, muziki, na hata wakati mwingine kwenye bunge la Kenya. Sheng' ilianza kutumika mwanzoni mwa miaka ya 70 katika kitongoji cha Eastlands katika jiji la Nairobi. Wanamuziki, hasa wa mtindo wa \"rap\" wamefanya lugha hii kujulikana na kuanza kukubalika. Wanamuziki kama vile Kalamashaka na Nonini wamekuwa wakiitumia sana kwenye nyimbo zao. Ingawa misamiati mingi, muundo, na kanuni za Sheng' zinatoka kwenye lugha ya Kiswahili, Sheng' inatumia maneno ya Kiingereza na pia lugha za makabila nchini Kenya. Ingawa kuna watu wengi wanaoipenda na kuitetea Sheng', wako wengine, wakiwemo walimu wa lugha mashuleni na vyuoni, wanaoipinga kwa maelezo kuwa inaharibu lugha ya Kiswahili na pia inahatarisha uwezo wa watoto na vijana kumudu Kiingereza na Kiswahili sanifu. Baadhi ya maneno ya Sheng': manzi, mshi, dame, chikidee, chile, chick, mradi = msichana \"fit!\", \"fit sana!\" = mzuri, okay \"Nai\" = Nairobi \"sasa\" = habari yako (ya sasa, ya saa hizi) chali, mhi, kijanaa, aguy, jamaa = mvulana kitu zii sana = kitu kibaya kucheki = kuangalia Kuenda tao = kuenda mjini Kukatia = kumwambia unayempenda maneno matamu \"flirting\" Kujiskia, Kufeel fly, kuji-do (do = fanya) = kuwa na maringo kupata ball = kupata mimba Kugonga wall , kugonga mawe = kujaribu kumwongelesha msichana lakini hataki kujihusisha nawe kulapa mtu = kujidai kuwa humwoni mtu Tia ritho = kuangalia. tia ritho= (literary: put to the eye) katika kikuyu, jina 'ritho' lamaanisha 'jicho'. Kushona = kupata mimba. Mfano: Dame ameshona; Kuchill = hali ya kutofanya mapenzi kabla ya ndoa. Kusota = hali ya kuwa bila pesa ama hela (being broke) Kuhanya = kufanya mapenzi ki-holelaholela Keroro = mvinyo, pombe Kugotea = kusalimia, (hello) kuwa gauge = hali ya kuwa mlevi, (drunk) Mahaga = sehemu ya nyuma ya msichana, matako Ndae = Gari (car) Kutia Ndani = kula (lit. To put inside) Kupewa = Kunywa pombe Karao, Daewoo, = Polisi (Daewoo from the brand of cars used by some police in Kenya) mchoro = mpangilio wa kufanya kitu (plan) mgondi = jambazi (thug) juala, CD = condom kutia zii= kuachana na kitu ambacho unafanya mresh=msichana kula vako = kuamini uwongo. Mfano: Alikula vako eti dame yangu ni mlami (He/she believed that I have a white girlfriend) veve=miraa"@sw . "Hesabu ni somo linalohusika na idadi na jinsi tunavyoweza kuhesabu kwa kutumia kanuni zifuatazo: Kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawa.Hesabu ni sehemu ya hisabati."@sw . "Lugha ya Kiarabu ni mojawapo ya lugha muhimu sana duniani, kwa sababu ya kutumika kwake kama lugha ya kidini kwa mamilioni ya Waslamu duniani, na kwa kutumika kwake na zaidi ya nchi ishirini na mbili zilizokuwemo ndani ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, mbali na kuwa ni lugha kale iliyokuwa na athari na taathira kubwa juu ya lugha nyingi ulimwenguni na juu ya ustaarabu na utamaduni wa watu na makabila tofauti tofauti duniani.Kiarabu kwa kawaida huandikwa kwa herufi za Kiarabu.Lugha hii ambayo leo imekubaliwa kama ni mojawapo ya lugha rasmi katika Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, na Mkutano wa Kilele wa Kiislamu, ni lugha yenye utajiri mkubwa wa misamiati (maneno) na ufasihi mkubwa wa misemo na udhibiti mkubwa wa sarufi na nahau. Ni lugha iliyokusanya aina nyingi za mithali na mafumbo, na ina utamaduni mkubwa wa nyimbo na mashairi na misemo, nayo inakubaliwa na watu wengi duniani kuwa ni lugha yenye utamu wa matamshi na uzuri wa lafdhi.Kwa kuwa Qurani Tukufu na Hadithi za Mtume Muhammad na Mashairi ya zama za Ujahili ndio yenye kudhibiti lugha hii isiteteleke na kubadilika na kupotea kama nyingi katika lugha za ulimwengu, leo baada ya miaka zaidi ya elfu imebakia thabiti kama ilivyokuwa wakati ilipoteremshwa Qurani, na mabadiliko yoyote yaliyotokea hayana uhusiano na lugha yenyewe ya Kiarabu, bali yana uhusiano na lahaja na vilugha mbali mbali zinazotumika na Waarabu fulani katika sehemu fulani ya nchi au mji. Ama lugha rasmi ya Kiarabu basi imedhibitika kulingana na Qurani na Sunnah, ili maandishi haya yaendelee kufahamika milele na milele.Leo, Kiarabu kinazungumzwa na watu ya zaidi ya milioni 200 kama lugha yao ya kwanza, na ni lugha ya sita ulimwenguni kwa wingi wa idadi ya wanayoitumia kila siku katika maisha yao, baada ya Kichina na Kihindi na Kihispania na Kiingereza na Kibengali. Umuhimu wa lugha hii unazidi kukuwa kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya mabara ya kale (Ulaya na Asia) na mabara mapya ya ulimwengu (Amerika ya Kaskazini na Kusini)."@sw . "Uislamu (kwa Kiarabu: \u0627\u0644\u0625\u0633\u0644\u0627\u0645 al-islam) ni dini inayotokana na mafunzo ya Mtume Muhammad. Wafuasi wa imani hiyo huitwa \"Waislamu\" na wanakadiriwa kuwa milioni 1,400 hivi. Hivyo ni dini ya pili duniani yenye wafuasi wengi baada ya Ukristo mwenye wafuasi milioni 2,200."@sw . "Kuki ni tafsiri ya muda ya neno la Kiingereza cookie.Maana yake asili ni biskuti, lakini neno la kuki linatumika ili kompyuta yenye kurasa za tovuti iweze kuwasaliana na watazamaji.Programu za tovuti hizi inahifadhi habari kadhaa za mtazamaji au mtumiaji (k.m. jina la mtumiaji, neno la siri, ruhusa, mapendekezo) kwenye kompyuta ya mtazamaji mwenyewe. Hivi mtazamaji anatambuliwa kila wakati anaingia kwenye tovuti hii.Pendekezo la \"kuki\" limepelekwa mbele na Mradi wa Kilinux (Linux na Open Office kwa Kiswahili) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mradi wa kampuni ya Microsoft ya kuswahilisha programu ya \"Windows\" umependekeza kutumia neno \"kidakuzi\" pamoja na \"kuki\"."@sw . "Kiingereza ni lugha ya Kigermanik cha Magharibi iliyokua nchini Uingereza. Leo, zaidi ya wasemaji milioni mia nne duniani wanazumgumza Kiingereza kama lugha ya kwanza. Watu wengi wanazumgumza Kiingereza kama lugha ya pili, kwa sababu ni lugha muhimu sana kwenye nyanja za sayansi na uchumi wa kimataifa."@sw . "Lugha saidizi ya kimataifa ni lugha ya kuundwa iliyoundwa kwa ajili ya mawasiliano kati ya watu toka mataifa mbalimbali. Lugha saidizi ya kimataifa inayozungumzwa zaidi ni Kiesperanto. Nyingine ni kama Kivolapuki, Kiido, Kiinterlingua na Kislovianski.nl:Kunsttaal#Internationale hulptalen"@sw . "Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa."@sw . "Lugha ya kuundwa (au lugha unde) ni lugha ambayo msamiati na sarufi zake zimetungwa na watu badala ya kukua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani. Kwa kawaida zinaundwa kwa ajili ya kuwasiliana kati ya watu sawasawa na lugha asilia. Nyingi zinatengenezwa ili kuwa lugha saidizi za kimataifa, lakini nyingine zinaundwa kwa ajili ya usiri au majaribio ya isimu au bila sababu fulani.Lugha ya kuundwa inayozungumzwa zaidi ni Kiesperanto. Mara chache lugha ya kuundwa maana yake ni lugha za kompyuta au za kuandaa programu (angalia lugha asilia). Kwa sababu ya utata huo watu wengi, hasa Waesperanto, hawapendi kutumia neno lugha ya kuundwa, na badala yake wanasema lugha ya kupangwa. Msemo lugha ya kupangwa unatumika kwa lugha zile tu ambazo ziliungwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu, kama Kiesperanto."@sw . "Lugha asilia ni lugha ambayo ilikua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani ambao watu wake wanaiongea kama lugha ya mama. Ni kinyume cha lugha ya kuundwa. Mara nyingi lugha asilia maana yake ni lugha yoyote ambayo inaweza kuzungumzwa na watu, na lugha za kompyuta na za kuandaa programu zinaitwa lugha za kuundwa."@sw . "Neno Mwenyezi Mungu kwa lugha ya Kiswahili linatumika kwa Muumba wa kila kitu, Mwenye kuabudiwa kwa haki, kinyume na neno 'mungu' ambalo lina maana chochote au yeyote anayeabudiwa ikiwa kwa haki au si kwa haki. Kwa hivyo, Mwenyezi Mungu ni Muumba wa mbingu na ardhi na kila kilichomo baina yake, naye ni Mlezi wa viumbe vyote na Mpaji riziki kwa kila chenye uhai ulimwenguni.Mwenyezi Mungu, katika dini na mila nyingi duniani, ni yule anayestahiki kuabudiwa kwa haki ikiwa peke yake bila kushirikishwa na chochote, au kwa kushirikishwa na viumbe vyengine, kwa nia ya kuwa hawa viumbe vyengine vinamkurubisha naye. Hii ni kwa sababu, kila dini au mila ina namna yake ya kumsawiri Mwenyezi Mungu, na njia gani sahihi ya kumuabudu, na kwa kuwa hakuna itifaki baina ya hizi dini, mila na madhehebu kuhusu Mwenyezi Mungu na namna anavyotakikana kuabudiwa, hizi tofauti chungu nzima zimetokea."@sw . "Ushairi ni utungo wa kisanaa ulio na madhumuni ya kutumbuiza au kuelimisha. Tena, ushairi ni tawi moja la fasihi andishi. Kinyume chake ni nathari.Inawezekana kutunga mashairi yenyewe au kutumia lugha ya kishairi katika aina nyingine za kisanaa, kwa mfano tamthiliya au nyimbo.Ushairi una historia ndefu. Kwa mfano, mwanafalsafa Aristotle katika kitabu chake Ushairi (\"Poetics\" kwa Kiingereza) anachunguza matumizi yake katika hotuba, tamthiliya, nyimbo na futuhi."@sw . "Katika mabara, lile lenye nchi nyingi zaidi ni Afrika likiwa na nchi au madola 54, likifuatiwa na bara la Ulaya likiwa na madola 48, kisha Asia likiwa na madola 44, halafu Amerika ya Kaskazini pamoja na Amerika ya Kati likiwa na madola 23, na baada yake ni Australia na Pasifiki (Oshania) likiwa na madola 14, na mwishowe ni Amerika ya Kusini likiwa na madola 12. Kwa hivyo, kwa ujumla, kuna madola 195 ulimwenguni."@sw . "Dunia (wakati mwingine pia: ardhi) ni mojawapo ya sayari zinazotembea katika anga ya ulimwengu. Kuna sayari nane zinazolizunguka jua, dunia yetu ikiwa sayari ya tatu katika mfumo wa jua na sayari zake. Masafa baina yake na jua ni kilomita milioni 150 au kizio astronomia 1. Dunia huchukua siku 365.256 kulizunguka jua, na masaa 23.9345 kuuzunguka mhimili wake na upana wake ni kilomita 12,756.Dunia huwa na mwezi 1."@sw . "Muhammad (kwa Kiarabu \"Mwenye kusifika sana\"; jina kamili kwa kirefu ni \u0645\u062D\u0645\u062F \u0628\u0646 \u0639\u0628\u062F \u0627\u0644\u0644\u0647 \u0628\u0646 \u0639\u0628\u062F \uFE8D\uFEDF\uFEE4\uFEC4\uFEE0\uFE90 \uFE8D\uFEDF\uFEEC\uFE8E\uFEB7\uFEE4\uFEF2 Muhammad bin 'Abd All\u0101h bin 'Abd al-Mu\u0163\u0163alib al-H\u0101shim\u012B) anaaminika katika dini ya Uislamu kuwa ni mtume wa mwisho wa Mungu (Allah) kwa binadamu."@sw . "Daktari (ma) ni neno la asili ya Kilatini lililoingia Kiswahili kwa kupitia Kiingereza. Hutumiwa na maana mbili:1) Mtaalamu aliyepata mafunzo maalum kwenye chuo kikuu ya kutibu maradhi au wagonjwa. Mtu wenye ujuzi wa kutibu wanaitwa pia mganga (wa), tabibu (ma).2) Kwa kufuata tabia za lugha nyingine dakta(ri) hutumiwa pia kama jina la heshima la mtu aliyepata shahada ya juu kabisa."@sw . "Qur'an (kwa Kiarabu: \u0627\u0644\u0642\u0631\u0622\u0646) ni kitabu kitukufu cha Uislamu. Qur'an inatazamiwa na Waislamu kama \"Neno la Allah (Mwenyezi Mungu)\". Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabu vya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kim