# started 2014-08-16T15:07:39Z "Historia ni somo kuhusu maisha ya binadamu na utamaduni wao wakati uliopita.Mara nyingi neno hilo lina pia maana ya maarifa yoyote kuhusu wakati uliopita, yawe au yasiwe maarifa ya watu (kwa mfano \"historia ya ulimwengu\"). Historia ni hasa mfululizo wa habari za mambo yaliyotokea pamoja na sababu zake. Binadamu anaziandika ili kuelewa maisha yake, yaani ametokea wapi, amepata mafanikio gani na matatizo gani."@sw . "Akiolojia (kutoka Kiyunani \u03B1\u03C1\u03C7\u03B1\u03AF\u03BF\u03C2 = zamani na \u03BB\u03CC\u03B3\u03BF\u03C2 = neno, usemi) ni somo linalohusu mabaki ya tamaduni za watu wa nyakati zilizopita. Wanaakiolojia wanatafuta vitu vilivyobaki, kwa mfano kwa kuchimba ardhi na kutafuta mabaki ya majengo, makaburi, silaha, vifaa, vyombo na mifupa ya watu."@sw . "Kwa ujumla, historia au tarehe, ni kumbukumbu ya maisha ya mwanadamu duniani, hasa ile tarehe iliyosajiliwa na kuhifadhiwa katika vitabu, maandishi mbali mbali, na simulizi au hekaya za mapokeo. Ingawa historia iliyobebwa katika simulizi na hekaya huchukuliwa na baadhi kuwa haina nguvu kwa kukosa ithbati ya maandishi, bado hivi ni vyanzo muhimu vya historia. Mara nyingi historia iliyoko katika maandishi huwa imehifadhiwa katika simulizi na hekaya kwa muda mrefu kabla ya kuandikwa."@sw . "Kiesperanto ni lugha ya kupangwa inayozungumzwa zaidi duniani kati ya lugha hizi. Ilipangwa na Ludwik Lejzer Zamenhof, myahudi aliyetoka mjini Bia\u0142ystok, nchini Urusi (siku hizi ni sehemu ya nchi ya Poland). Alitoa kitabu cha kwanza cha lugha hii mwaka 1887 baada ya kuitengeneza kwa miaka karibu kumi. Nia yake ilikuwa kutengeneza lugha rahisi ili iwe lugha saidizi ya kimataifa, lugha ya pili kwa kila mtu duniani."@sw . "Lugha (kar: \u0644\u063A\u0629) ni utaratibu kwa ajili ya kuwasiliana kati ya binadamu au kati ya viumbe vyovyote venye akili. Mwaka wa 2008 ulikuwa Mwaka wa Lugha wa Kimataifa.Somo la lugha linaitwa maarifa ya lugha au isimu."@sw . "Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki.Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, mithali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo. Kiswahili hutumika mashuleni na kuna vitabu vingi vilivyotungwa kwa kutumia lugha hiyo, vikiwa pamoja na vile vya hadithi, hekaya au riwaya."@sw . "Sheng' ni lugha ya mitaani nchini Kenya inayochanganya Kiswahili na Kiingereza pamoja na lugha mbalimbali za kienyeji kama vile Kikikuyu, Kijaluo n.k.. Sana sana hutumiwa na vijana katika mji wa Nairobi, Kenya. Hata hivyo lugha hii inasambaa katika sehemu mbalimbali za Kenya na watu wa matabaka mbalimbali wanaitumia. Sheng inatumiwa kwenye mabasi, redioni, muziki, na hata wakati mwingine kwenye bunge la Kenya."@sw . "Hesabu ni somo linalohusika na idadi na jinsi tunavyoweza kuhesabu kwa kutumia kanuni zifuatazo: Kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawa.Hesabu ni sehemu ya hisabati."@sw . "Lugha ya Kiarabu ni mojawapo ya lugha muhimu sana duniani, kwa sababu ya kutumika kwake kama lugha ya kidini kwa mamilioni ya Waslamu duniani, na kwa kutumika kwake na zaidi ya nchi ishirini na mbili zilizokuwemo ndani ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, mbali na kuwa ni lugha kale iliyokuwa na athari na taathira kubwa juu ya lugha nyingi ulimwenguni na juu ya ustaarabu na utamaduni wa watu na makabila tofauti tofauti duniani.Kiarabu kwa kawaida huandikwa kwa herufi za Kiarabu.Lugha hii ambayo leo imekubaliwa kama ni mojawapo ya lugha rasmi katika Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, na Mkutano wa Kilele wa Kiislamu, ni lugha yenye utajiri mkubwa wa misamiati (maneno) na ufasihi mkubwa wa misemo na udhibiti mkubwa wa sarufi na nahau. "@sw . "Uislamu (kwa Kiarabu: \u0627\u0644\u0625\u0633\u0644\u0627\u0645 al-islam) ni dini inayotokana na mafunzo ya Mtume Muhammad. Wafuasi wa imani hiyo huitwa \"Waislamu\" na wanakadiriwa kuwa milioni 1,400 hivi. Hivyo ni dini ya pili duniani yenye wafuasi wengi baada ya Ukristo mwenye wafuasi milioni 2,200."@sw . "Kuki ni tafsiri ya muda ya neno la Kiingereza cookie.Maana yake asili ni biskuti, lakini neno la kuki linatumika ili kompyuta yenye kurasa za tovuti iweze kuwasaliana na watazamaji.Programu za tovuti hizi inahifadhi habari kadhaa za mtazamaji au mtumiaji (k.m. jina la mtumiaji, neno la siri, ruhusa, mapendekezo) kwenye kompyuta ya mtazamaji mwenyewe."@sw . "Kiingereza ni lugha ya Kigermanik cha Magharibi iliyokua nchini Uingereza. Leo, zaidi ya wasemaji milioni mia nne duniani wanazumgumza Kiingereza kama lugha ya kwanza. Watu wengi wanazumgumza Kiingereza kama lugha ya pili, kwa sababu ni lugha muhimu sana kwenye nyanja za sayansi na uchumi wa kimataifa."@sw . "Lugha saidizi ya kimataifa ni lugha ya kuundwa iliyoundwa kwa ajili ya mawasiliano kati ya watu toka mataifa mbalimbali. Lugha saidizi ya kimataifa inayozungumzwa zaidi ni Kiesperanto. Nyingine ni kama Kivolapuki, Kiido, Kiinterlingua na Kislovianski.nl:Kunsttaal#Internationale hulptalen"@sw . "Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa."@sw . "Lugha ya kuundwa (au lugha unde) ni lugha ambayo msamiati na sarufi zake zimetungwa na watu badala ya kukua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani. Kwa kawaida zinaundwa kwa ajili ya kuwasiliana kati ya watu sawasawa na lugha asilia. Nyingi zinatengenezwa ili kuwa lugha saidizi za kimataifa, lakini nyingine zinaundwa kwa ajili ya usiri au majaribio ya isimu au bila sababu fulani.Lugha ya kuundwa inayozungumzwa zaidi ni Kiesperanto."@sw . "Lugha asilia ni lugha ambayo ilikua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani ambao watu wake wanaiongea kama lugha ya mama. Ni kinyume cha lugha ya kuundwa. Mara nyingi lugha asilia maana yake ni lugha yoyote ambayo inaweza kuzungumzwa na watu, na lugha za kompyuta na za kuandaa programu zinaitwa lugha za kuundwa."@sw . "Neno Mwenyezi Mungu kwa lugha ya Kiswahili linatumika kwa Muumba wa kila kitu, Mwenye kuabudiwa kwa haki, kinyume na neno 'mungu' ambalo lina maana chochote au yeyote anayeabudiwa ikiwa kwa haki au si kwa haki."@sw . "Ushairi ni utungo wa kisanaa ulio na madhumuni ya kutumbuiza au kuelimisha. Tena, ushairi ni tawi moja la fasihi andishi. Kinyume chake ni nathari.Inawezekana kutunga mashairi yenyewe au kutumia lugha ya kishairi katika aina nyingine za kisanaa, kwa mfano tamthiliya au nyimbo.Ushairi una historia ndefu. Kwa mfano, mwanafalsafa Aristotle katika kitabu chake Ushairi (\"Poetics\" kwa Kiingereza) anachunguza matumizi yake katika hotuba, tamthiliya, nyimbo na futuhi."@sw . "Katika mabara, lile lenye nchi nyingi zaidi ni Afrika likiwa na nchi au madola 54, likifuatiwa na bara la Ulaya likiwa na madola 48, kisha Asia likiwa na madola 44, halafu Amerika ya Kaskazini pamoja na Amerika ya Kati likiwa na madola 23, na baada yake ni Australia na Pasifiki (Oshania) likiwa na madola 14, na mwishowe ni Amerika ya Kusini likiwa na madola 12. Kwa hivyo, kwa ujumla, kuna madola 195 ulimwenguni."@sw . "Dunia (wakati mwingine pia: ardhi) ni mojawapo ya sayari zinazotembea katika anga ya ulimwengu. Kuna sayari nane zinazolizunguka jua, dunia yetu ikiwa sayari ya tatu katika mfumo wa jua na sayari zake. Masafa baina yake na jua ni kilomita milioni 150 au kizio astronomia 1. Dunia huchukua siku 365.256 kulizunguka jua, na masaa 23.9345 kuuzunguka mhimili wake na upana wake ni kilomita 12,756.Dunia huwa na mwezi 1."@sw . "Muhammad (kwa Kiarabu \"Mwenye kusifika sana\"; jina kamili kwa kirefu ni \u0645\u062D\u0645\u062F \u0628\u0646 \u0639\u0628\u062F \u0627\u0644\u0644\u0647 \u0628\u0646 \u0639\u0628\u062F \uFE8D\uFEDF\uFEE4\uFEC4\uFEE0\uFE90 \uFE8D\uFEDF\uFEEC\uFE8E\uFEB7\uFEE4\uFEF2 Muhammad bin 'Abd All\u0101h bin 'Abd al-Mu\u0163\u0163alib al-H\u0101shim\u012B) anaaminika katika dini ya Uislamu kuwa ni mtume wa mwisho wa Mungu (Allah) kwa binadamu."@sw . "Daktari (ma) ni neno la asili ya Kilatini lililoingia Kiswahili kwa kupitia Kiingereza. Hutumiwa na maana mbili:1) Mtaalamu aliyepata mafunzo maalum kwenye chuo kikuu ya kutibu maradhi au wagonjwa. Mtu wenye ujuzi wa kutibu wanaitwa pia mganga (wa), tabibu (ma).2) Kwa kufuata tabia za lugha nyingine dakta(ri) hutumiwa pia kama jina la heshima la mtu aliyepata shahada ya juu kabisa."@sw . "Qur'an (kwa Kiarabu: \u0627\u0644\u0642\u0631\u0622\u0646) ni kitabu kitukufu cha Uislamu. Qur'an inatazamiwa na Waislamu kama \"Neno la Allah (Mwenyezi Mungu)\". Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabu vya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho, Muhammad."@sw . "Jiografia ni somo la Dunia na vipengele vyake, wakazi wake, na maajabu yake. Neno jiografia linatokana na maneno ya Kigiriki g\u00EA (\"Dunia\") na graphein (\"kuandika\"). Ina maana ya \"kuandika kuhusu Dunia\". Neno hili lilianza kutumiwa kwa mara ya kwanza na mwanasayansi mmoja aitwaye Eratosthenes (276-194 KK).Sehemu za jiografia ni vitu kama mabara, bahari, mito na milima. Wakazi wake ni watu wote na wanyama waishio juu yake."@sw . "Isa ni umbo la jina Yesu katika Qurani na pia katika lugha mbalimbali zinazoathiriwa na Uislamu.Ukurasa huu unahusu imani ya Uislamu kumhusu Yesu kadiri ya Kurani."@sw . "Hadithi au Sunnah ni maneno na vitendo ambavyo Mtume Muhammad alikuwa akisema au akifanya katika kipindi chake cha utume. Hadithi hizi ni moja ya miongozo ya imani kwa Waislamu. Hadithi hizi zinajumuisha pia mambo aliyoyaona au kuyasikia katika muda wa utume wake akalinyamazia kimya au akawa hakulipinga na akalikubali.Muhammad aliishi miaka kama arobaini bila kuwa na imani ya Mungu pekee."@sw . "Nzige ni jamii ya panzi wenye uwezo wa kujikusanya kwenye makundi makubwa na kuruka umbali mrefu kwa pamoja. Nzige wanapokuwa wametawanyika mmoja mmoja huishi kama panzi wa kawaida. Wanapozaliana na kuongezeka idadi hujikusanya katika makundi. Makundi ya tunutu husafiri kuelekea upande mmoja na kula majani wanakopitia. Makundi ya nzige wakubwa huweza kufikia idadi zaidi ya bilioni na huruka umbali mrefu na kuharibu mazao wanakotua."@sw . "Bara Arabu ni ile sehemu ya dunia iliyoko baina ya Bara la Afrika na Bara la Asia ambayo sehemu kubwa yake imezungukwa na bahari, upande wa magharibi na Bahari ya Shamu, upande wa kusini na Bahari ya Hindi na mwengine wa Mashariki na Ghuba ya Uajemi."@sw . "Panzi ni aina ya mdudu anayekula mimea. Panzi waainishwa katika nusuoda Caelifera ya oda Orthoptera. Wanachupa mbali kwa kutumia miguu yao ya nyuma ambayo ina nguvu sana. Wengi wanaweza kuruka angani. Panzi wana vipapasio vifupi kuliko mwili wao. Panzi wakubwa na ambao wanajikusanya kwenye makundi wanaitwa nzige.Panzi jike wana maumbile yanayowawezesha kuchimba ardhi na kutaga mayai yao ndani ya vibumba. Vibumba vya mayai huweza kuwa na mayai kumi na tano hadi zaidi ya mia moja."@sw . "Kiido ni lugha ya kupangwa. Inafanana sana na Kiesperanto, lakini haizungumzwi na watu wengi kama Kiesperanto."@sw . "Bara (au kontinenti) ni sehemu kubwa ya dunia iliyochomoza juu ya bahari, ambayo kikawaida hukaliwa na watu na kuwa juu yake milima na mimea na wanyama na kila aina ya viumbe. Sehemu hii ya dunia ndio inayojulikana kama bara, na sehemu nyingine ya dunia ni ile iliyoko chini ya bahari."@sw . "Fizikia (kutoka kigiriki \u03C6\u03C5\u03C3\u03B9\u03BA\u03CC\u03C2 (physikos), \"maumbile\", na \u03C6\u03CD\u03C3\u03B9\u03C2 (physis), \"kiumbo\") ni sayansi inayohusu maumbile ya Dunia, ambayo inahusu asili ya viungo vya ulimwengu.